MUNGU TWAOMBA UWEZA WAKO — Cantiques EUJC

N° 627

MUNGU TWAOMBA UWEZA WAKO

1.

Mungu twaomba uweza wako, Baba twaomba (X3) Twalia (X2)

2.

Yesu twaomba uweza wako, Yesu twaomba (X3) Twalia (X2)

3.

Roho twaomba uweza wako, Roho twaomba (X3) Twalia (X2)