UMOJA NGUVU ZETU — Cantiques EUJC

N° 629

UMOJA NGUVU ZETU

Refrain

(Umoja) umoja nguvu zetu, umoja wokovu wetu, umoja roho zetu (X2)

1.

(Sisi tupo) sisi tupo kama kondoo iliyo fichwa zizini mwa Mufalme wetu Yesu (X2)

2.

(Nasi tupo) nasi tupo na umoja taa ilio mezani na malaika mbinguni (X2)

3.

(Twashiriki) twashiriki Neno moka tukishirikia kikombe cha damu yake Mwokozi (X2)

4.

(Ushiriki) ushiriki na kikombe uyafue matendo yako yasikulaani (X2)