MUNGU WANGU UNIONDOSHEE MWIBA — Cantiques EUJC

N° 630

MUNGU WANGU UNIONDOSHEE MWIBA

1.

Mungu wangu uniondoshee mwiba (X2) “Mimi mwana wako Baba nakuomba uniondoshee mwiba” (X2)

2.

Yesu wangu uniondoshee mwiba (X2) “wewe Mwokozi wangu nakuomba uniondoshee mwiba” (X2)

3.

Roho Mwema uniondoshee mwiba (X2) “Mimi mwana wako Roho nakuomba uniondoshee mwiba” (X2)