SAFARINI MWANGU NINAOMBA MUNGU — Cantiques EUJC

N° 633

SAFARINI MWANGU NINAOMBA MUNGU

1.

Safarini mwangu nina omba Mungu natuma Mungu mbele ili anitangulie (X2)

Refrain

Mungu wangu uniondoshee hatari zote (na shidaà na shida zote ngumu

Nifikapo nitapiga goti Jehova Mungu nitakushukuru (X2)

2.

Huko mbele kuna, vita kuu ya giza, shimo ndefu saana ili nisipate uzima (X2)

3.

Ikiwa huja toka ndani ya vitu, mu mambo ya watu wewe utafariki kweli (X2)