N° 639
ZAMBI ZIPO MUWATU
1.
Zambi zipo mu watu zambi zipo ayina ngapi <<zambi zipo ayina tatu ziki tutenga na mungu>><<Ya kwanza kuna zambi ya mudamu na iyo ya kufungishwa, kuna zambi ya kuyiga, katika safari yetu>> 2x
Refrain
Na ingiya udumani nimesongwa pande zote eh baba usi nyache Baba kwa uweza wewe, usinyache Baba kwa uweza wako wewe
2.
Mimi sina lako nena yawe bwana ni wokuvu wangu eh baba <<mikononi mwako nitende yo upendavio>>2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand