WA KATI YESU ALIPO ELEKEYA — Cantiques EUJC

N° 643

WA KATI YESU ALIPO ELEKEYA

1.

Wakati yesu alipo elekeya ndjiani akaona muti mwema wa matunda alipofika kutafuta matunda akuona kamwe tunda ata moja 2x

Refrain

Tshunguzeni matendo yetu tunayo tendeya bwana djiazarini wasi tulaumu marafiki za uovu <<mupenzi wangu J éhova mungu wangu unirehema>>mungu wa Abrahamu, Isaka, Yakobo, unirehema

2.

Sisi zote tuliomo ékaluni wa baba wa mama marafiki zetu, ata tukiwa wa wakilisto kweli tutowe matunda inayo pendeza 2x

3.

Djiazarini enyi wana wa J éhova shoka ni tshini ya kila shina yote muti ni wote usipo towa tunda utakatwa na kutupua motoni 2x