N° 65
BWANA KANYOSHA UPINDE MBINGUNI
1.
Bwana kanyosha upinde mbinguni mvua zote zikakoma " Upepo kondoa maji dunia safina ikasimama mulimani hararati."2x
Refrain
" Noa katoa, noa katoa zabihu za shukurani "2x
2.
Noa katuma kunguru katazame inchi kama ya me kwisha kweli " aah kunguru kazunguuka kakula vitumba "2x Noa akatuma njiwa akenda akirudi na majani ya mizetuni.
Commentaire
Com : -Kwa kuakikisha neno -Kwa kuakikisha kazi -Kwa kuakikisha vyote.
3.
Bwana kondowa mulango viumbe viote vikatoka safina vikaenda zao "Noa katika inchini akawa eh noa mulimaji mizabibu.
Commentaire
Com : -Noa kakunywa muvinyo -Noa kabaki utupu -Noa akafunuliwa -Noa katika inchini
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Akatowa na nyama za shukurani kuko mungu mumbaji -Akatowa na ndeke za " " " " " " " " " " -Akatowa vyote via " " " " " " " " "