DJINA LA YESU — Cantiques EUJC

N° 651

DJINA LA YESU

1.

Djina la Yesu naliya kitabu kia mihuri saba <<kimefungwa mbele yetu minalia funguliwa>>2x

2.

Kitabu kia mihuri saba Daudi simba la kabila <<wana wako wanalia juu uonyeshe utukufu>>2x

Refrain

holele, holele mulaya (plusieurs fois) Kila muntu na mungu (plusieurs fois)