N° 653
TWIMBENI SHANGWE
Twimbeni shangwe kwa Mutawala na bwana « yeye mufariji wetu utukufu uwe juu » hata Enoka mutu wa saba tangu Adamu alitabiri uwezo wake « utukufu tele na rehema nyingi tangu milele na kwa siku ya lutu » 2x
Refrain
Enyi wajoli twagiza twasita ee twarifu wakwe wetu twa kawia twashikwa kwa nguvu twatoshwa hata inje ya muji. « Basi tuondoke haraka mujini tukimbiye tusiunguwe tusiangalie nyuma tusisimame tukaketi milimani ». 2x
Watu wale wakamwambia lutu ondoka haraka twaharibu muji japo aliarifiu wakwe we lakini walimuona mwenye ziakaaa, kumbe undoka mujini haraka ukimbiye « usiunguwe ushike njia hata milimani usiketi zowari »
« J ua lilikuwa limepanda juu ya inchi wakati lutu alikuja kwa zoari » Halafu Baba akanyeshesha kibiriti na moto kutoka mbinguni
Commentaire
Halafu Baba akanyeshesha kibiriti na moto kutoka mbinguni 2x
Kwaajiliyauchawi Eheeee
SodomanaGomora Eheeee
Sodoma ikarungula Eheeee
Halafu Baba akanyeshesha kibiriti na moto kutoka mbinguni.
Commentaire
Baba ondoke haraka mujini
Mama ondoke haraka mujini
Kaka ondoke haraka mujini