N° 654
EWE ELISA MWANA WA SAFATI
1.
Ewe Elisa mwana wa Safati "2x "Aliye kuwa akilima na jozi la ngombe " "kumi na mbili alikuwa mu kumi na mbili (yeye mwenyewe ) alikuwa mu kumi na mbili "2x
Refrain
Ewe mujoli wangu , mujoli pakupata roho shutoke mu mambo ya watu shuache via kusikia , twende naye wote tupate uzima .
2.
Kisha Elia pakupita akatupa vazi ju yake "naye Elisa aliacha ngombe kamuŵwata Elia kwa haraka "2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Tukafike mbinguni twende nawe wote tupate uzima -Tukapate uzima " " " " " " -Tukafike ku mwisho " " " " " "