DARIO MIFALME — Cantiques EUJC

N° 655

DARIO MIFALME

1.

Dario mfalme yoyoyo katuma watupe Danieli na mungu pangoni mwa simba wajoli ipate kumula Danieli akomba eh bwana kwa bwana mumbaji mwokozi wa watu tazama mateso jeho va simba akanguruma ( kalia yoyoe)

2.

Danieli akaweka eh moyo wake katika mikono ya bwana mwokozi wa watu mushinda alie mwamini "2x "Jehovamfalme yoyowe" 2x akatuma kerubi pangoni mwa simba kuponya Danieli mpendwa katika jaribu ( kalia yoyowe )

3.

Wajoli tufurahi yoyowe twibeni furaha kwa bwana mumbaji ( mufariji ) mufariji wetu mushinda ajabu sikia "2x Tazama mfalme dario akashududu bwanamungu wa Danieli kashinda adui mkali akamwimidi ( kalia yoyowe )

Refrain

Ni husuri wapo kwa mambo mengine ya ulimwengu uniombee eh kwa jehoa mungu , ûungu wa uweza katika jaribu yeye ataniponyesha ni tiliwapo pangoni mwa simba nisiwake kamwe eh niombee eh kwa jehoa mungu , mungu wa uwezo yeye katika jaribu ataniponyesha . ni fiolewapo na mutu yeyote ni sikasirike eh niombee kwa jehoa mungu , mungu wa uwezo katika jaribu yeye ataniponyesha.