N° 657
MUCHUNGAJI MWEMA UNENA
1.
Muchungaji mwema unena wote walionitangulia ni wezi na wanyanganyi hapa duniani "Tondokeni wote utumwani tumufwate yesu"2x
Refrain
Watu ufanya via shara kwa jina la bwana ( wa kisema )wa baba mutoleeni mungu wenu vitu , wa mama mutoleeni mungu wenu vitu watu hawa wamepotea wote kwajili ya vitu.
2.
Muchungaji wote wa mushara yuna hazina , yuna kiti , yuna fahari yuna ufalme hapa duniani "tondokeni wote hapa utumwani tu mufwate yesu "2x (enyi wajoli)
3.
Kondo njema uchaguliwa usikia na ufwata pia wingia na kutoka juu ya mioyo ya watu, tondokeni wote hapa utumwani tumufwate yesu (enyi wajoli)
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand