N° 658
MWANA ALALI NYUMBANI MWA BABA
1.
Mwana alali nyumbani mwa babae utimiza uduma za baba yake uonyesha mapenzi ya baba yake hana kufuru lolote mu nafsi yake .
Refrain
Maombi ya yesu , ya yesu kwa mungu baba unitukuze yoyoyo kwa uduma wako na maliza awa ulionipa baba uwatakase kwa kweli hila mwana wa hasi kwake handiko la timia~2x
2.
Jehova mungu si mungu waw ana wafu ila ni mungu waw ana walio hai apa duniani wa Ibrahimu baba wa imani ut iwa mungu wa Musa kuondosha viatu habari za watu wa Danieli mwa simba kushinda majaribu wa Ayubu kupata mateso kujikana mu uzima wake tukuza mwana wako huyu mushindi wa dunia.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com :-Yuda iskariote ila mwana wa kuhasi kwake andiko la timia
-Mikali binti ya Saulo " " " " " "
-Delila musaliti " " " " " "
-Kaini mutu wa nongo " " " " " "