N° 659
HIKI CHOMBO CHA BWANA
1.
"Hiki chombo cha bwana kilikuwa kizaifu '2x "sasa leo kimepewa utukufu milele "2x "Sasa leo kimejazwa mamulaka ya milele "2x
Refrain
Baba yangu baba niinuwe nifanye kazi ya ajabu
2.
"Mimi bado kuzaliwa nilikuwa nimefungwa "2x "sasa leo siri yote imekuwa ndani mwangu"2x "ya mu mbingu na dunia imekuwa ndani mwangu "2x "mamulaka na uwezo nimetiwa mikononi "2x
3.
"Wamajeshi ni na kwita fanya kazi ndani mwangu "2x "Nitawale falme zote nitawale hadezi "2x "Mataifa waanguke wamujuwe mungu wetu "2x "Na mapepo waanguke wa shududu mungu wetu "2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Ufahamu wa neno niinuwe nifanye kazi ya ajabu.
-Malaika mu mbingu
-No Mulaya mu mbingu
-Na Milemba mu mbingu
-Na mitume ya mungu