N° 660
SAUTI YA MUTU IKALIA NJANGWANI
1.
Sauti ya mutu ikalia jangwani yoane akapaza sauti mu njangwa watu wa sikie.
Refrain
Mujoli mwenzangu unabaki nyuma ndugu yangu na mizigo yako
Commentaire
Com :-Na bulozi awache unabaki nyuma wewe na mizigo yako
-Kabwabwa " " " " " "
-Na madawa " " " " " "
2.
Wenye hekima wajieupushe na mambo haya tuwe sawa Petelo , tuwe sawa Yoane , tuwe sawa Yakobo hawa watatu ni wanangurumo.
3.
Ni kumbuke ni kumbuke baba mu ufalme wako , ni kumbuke mufalme wako nisije nikasailuwa.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com :-Muhubiri wa neno akapaza sauti mu njangwa watu wa sikie
-Mwalimu wa njia " " " " " "