N° 661
UJUZI NI NAO
1.
Ujuzi ni nao mimi munaziri wa mungu , "Mungu akatuma yesu aje ili atufie "2x " Israeli utumwani mwa shetani kando lliopotea "2x
Refrain
Eh mungu wangu mimi sitarejea kamwe baba utumwani mwa shetani wokovu toka juu mbinguni kwenye mungu baba .
2.
Univalishe joo la uzima ni pakwe mafuta nawe baba jenge kuta za yerusalema.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Eh yesu wangu mimi sitarejea kamwe baba utumwani mwa shetani wokovu toka juu mbinguni kwenye mungu baba
-Eh roho mwema kweli " " " " " " " " " "