EH BWANA KWA NENO HILI — Cantiques EUJC

N° 662

EH BWANA KWA NENO HILI

1.

Eh bwana kwa neno hili bwana , Eh bwana kwa neno hili kusudi lako kuzinua nafsi zetu kutoka kuzimuni "Kwani ye yesu ataka kutuokoa miongoni mwao wa shukao shimoni "2x

Refrain

Enyi wajoli imbieni bwana zaburi enyi watawa wake yoyoyo kwa kutowa shukurani kwa kumbukumbu la utukufu wake (Aleluya mbinguni ) kumbukumbu la utukufu wake

Commentaire

Com : -Kumbukumbu mu kabila la Lawi kumbukumbu la utukufu wake.

-Kumbukumbu " " Simeoni " " " " "

-Kumbukumbu " " Gadi " " " " "

-Kumbukumbu " " Dani " " " " "

2.

Katika rehema zake mungu muna huai muna uzima wenda kilio uja usiku lakini asubui kwa furaha kwa wajoli waaminio roho.

3.

Kuna faida gani kwa damu yangu kwenda kuzimu eh baba mavumbi haya takusifu ya taitanganza je kweli yako "Bwana mungu ni linde hai nitakutukuza milele "2x