N° 665
TARUMBETA ITALIA
1.
Tarumbeta italia siku kuu ya mumbaji kwa kuhamuwa wa zima na wafu , alie panda vizuri atapata mavuno.
Refrain
Ndugu mwenye kulala utavuna ulicho panda katika shamba lako wewe .
2.
Apo uliamini mungu , uliamini pekee yako apo utakapo vuna utavuna pekee yako mujoli wangu (ndugu yangu ) utoke mu watu mu vitu upate wokovu.
3.
"Mavuno ya mekuwa mengi wavunaji ni wa chache "2x mungu wangu utume wa hudumu wengine wakakuhudumie "2x
Commentaire
Com : -Ulituma Kadima utume wa udumu wengine wakakuhudumie
-Ulituma Mitume " " " " " "
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Uli panda bulozi utavuna ulicho panda katika shamba lako wewe
-Ukipanda uzini " " " " " "
-Ukipanda zarau " " " " " "