KILA MWAKA KILA MWAKA — Cantiques EUJC

N° 668

KILA MWAKA KILA MWAKA

1.

Kila mwaka, kila mwaka wazazi wa yesu wende kwelekeya kwa jehoa mu yerusalema yesu alibaki nyuma wakati wa kurudi ju ya watu na maswali zao.

Refrain

Mujoii wangu mujoii umufanye bwana uduma acha kufata watu na shuruli zao , ewe mujoli usiishi mikononi kamwe.

2.

"Kwelekeya kwa jehoa yesu ingia hekaluni "2x kakuta wafanya biashara humo hekaluni kafanya kikoto cha kamba katowa watoza kodi wakondo , wa kondoo wauwa na ngombe .

3.

Mayaudi wa kamweleza njoni utuoneshe yesu kamwambia hivi vunjeni hekalu nami ni tausimamisha kwa siku tatu bwana yesu alinena ju ya hekalu la mwili wake.