N° 67
YAKOBO AKAAMUKA USIKU ULE
1.
Yakobo akaamuka usiku ule, akatshukuwa wake wake wawili, « na bijakazi na watoto, kawavusha yabuki » Naye Yakobo aliatshwa peke muntu kashindana naye, akagusa padia lake muvungunyo kashutushwa 2x
Refrain
Yakobo <<uniache niende mimi sitakuacha unibariki baba uniache niende mimi sitakuacha unibariki baba>> 2x
2.
Djina lako nani mudjoli yoyo djina lako Yakobo a utaitwa Yakobo utaitwa Isalele «kashindana na Mungu piya na watu kawashinda »2x
3.
Nime mona bwana uso kwa uso “mali apa Peniwele nime pata uzima”2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand