N° 670
HILI NENO LILILO SEMA YESU
1.
Hili ni neno lililo sema yesu mimi ndimi nuru ya ulimwengu anifatae hataenda gizani kamwe atakuwa na nuru ya uzima.
2.
Usikuni karibu kucha nuru imesogea karibu tuvueni matendo ya giza tuvaeni sila za nuru.
3.
Mufalme anena kwamba kama vile mimi ndimi uzima ¨Kila hawaiye yote atanipigia goti ulimi wote utani tukuza mimi ¨2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
**_Ref : Yoyoyo en y munenao kwamba tu wana wa mungu alie hai kwa matendo_**
**_yenu hamumufahamu mungu ee ¨Kweli kweli mungu naye hawatambui ¨2x_**