N° 678
UBAYA WA WATU WANINAWE
1.
Ubaya wa watu wani nawe "2x bwana akachagua yona nmwana wa mitai ili akamuhudumie yeye .
Refrain
Jehova akamwambia yona ee yona , yona ee yona wende ninawe .
2.
Yona alipo simama kwelekeya tarsisi eh yona akakimbia uso wa bwana.
Commentaire
Com :-Kumaitaji yake eh yona akakimbia uso wa bwana
-Yona mu mambo ya mwili " " " " "
3.
Upepo muka hajarika baharini juu ya yona walinzi wa meli wakapiga kura " E ee yona akatupwa baharini yona akamezwa "3x
Commentaire
Com :-Tumboni mwa samaki
-Yona kwa siku tatu
-Moyoni mwa bahari
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com :-Uka hubiri watu yona ee yona , yona ee yona wende ninawe
-Uka fundishe watu " " " " "
-Uka wokowe watu " " " " "
-Uka fariji watu " " " " "