TUKUZENI BWANA — Cantiques EUJC

N° 680

TUKUZENI BWANA

1.

"Tukuzeni bwana enyi vifaranga via mungu "2x yoyoyo "Kwa zenze na vinubi tumutukuze mungu wetu "2x

Refrain

-Vifaranga via bwana tumwimbie yoyoyo tumutukuze mungu wetu

-Waminifu mu njia

-Wapakwa mafuta

2.

"Na ndege za hanga wako na muhimidi "2x kwa nzenze na vinubi tumutukuze mungu wetu.

3.

"Malaika kumbingu wako na muhimidi "2x "Kwa nzenze na vinubi tumutukuze mungu wetu "2x