BWANA ALINITEUWA TANGU UJANA WANGU — Cantiques EUJC

N° 681

BWANA ALINITEUWA TANGU UJANA WANGU

1.

Bwana aliniteuwa tangu ujana wangu jamani mwangu kwakumuhimidi muchana kutwa yoyoyo "Ndege za nyimbo imba jeho va "2x

Commentaire

Com : -Kumutukuza baba Ndege za nyimbo imba jeho va

-Kumuhimidi baba " " " " " "

-Waminifu wa mungu "

2.

Ndege za nyimbo uniteuwa kumutukuza mungu mimi ni pigwa hapo wala kushutumiwa ju ya neno sitacha kamwe (uduma sitaacha kamwe ) kwa kweli ndege za nyimbo imbo jeho va.

3.

Mimi nalichagua huduma nzuri kazi nitakayo ifanya ata mbinguni kazi gani ya kumuhimidi jioni asubui kwa kweli ndege za nyimbo imba jeho va.