KATIKA MUJI WA YOPA — Cantiques EUJC

N° 682

KATIKA MUJI WA YOPA

1.

Katika muji wa yopa alipo panda darini mwa nyumba kwa kumuomba mufalume ́( Kweli ) tazama chombo kutoka mbinguni na haina zote za nyama ndani yake "2x

Refrain

Petelo chinja ule e baba sitakula nyama muchafu ya mbingu kweli sitakula e baba nyama iyo.

Commentaire

Com : -Nyama muchafu ya mbingu E baba nyama hiyo sitakula eh baba nyama hiyo

-Nyama hiyo nyama kiboko na mamba " " " " "

-Nyama kwaribu huduma

-Nyama hiyo nyama kukosa tohara Soko mutu na imbwa E mungu wangu sitakula eh baba nyama hiyo

2.

Malaika kamwambia tuma watu kumwita Petelo aje kwangu "2x basi Petelo naye nayeve akamujibu fanya yote yanayo kupasa uyatende

3.

Alipo kuwa angali na omba roho mwema akatwangukia na sisi tukajazwa roho huyu roho wa mbingu "akatwangukia na sisi tukajazwa roho "2x

Commentaire

Com :-Huyu roho wa kadima akatwangukia na sisi tukajazwa roho

-Huyu roho wa mitume " " " " " " "

-Huyu roho wa kyungu " " " " " " "