KISHA ABRAMU KUSHINDA VITA — Cantiques EUJC

N° 70

KISHA ABRAMU KUSHINDA VITA

1.

Kisha Abramu kushinda vit aya wafalme wa tano , Ibrahimu akatoa chekumi kwake Melkisedeki ~ Bwana naye akumwacha bure yoyoe kampua mukate na vinyo ~2x

Refrain

Enyi wajoli tukuzeni mufalme ndie mushindi wetu.

Commentaire

Com : Mushindi wa vita : Tukuzeni mufalme ndie mushindi wetu Mushindi ni bwana : -Kashindia Abramu : -

2.

Bwana kamwambia Abramu kwakuriti inchi wewe upasuwe ndama wa miaka tatu , upasuwe mbuzi wa miaka tatu kondoo naye wa miaka tatu ~ Ukiwatenga vipande mbili mbili~2x

3.

Huwa na njiwa Abramu akuitenga , Ibrahimu akachunga vitumba tai lisishuke , jua kushuka moto kutoka mbinguni uteketeza vitumba .