N° 71
MUNGU AKATUMA WATU
1.
Mungu akatuma watu kwenye Ibrahimu , mwende muka muharifu Sara akazaa.
Refrain
Sara kacheka ehi ehi ee mungu wangu mimi niko mukongwe mimi tazaa jee.
2.
Apo Sara alipo baki akachukuwa mimba alipo rejea jehova Sara akazaa.
3.
Hii ni nguvu ya mungu kuwa onesha watu kwa muke huyu mukongwe atazaa mwana.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : Mumbaji wangu : mimi niko mukongwe mimi ni tazaa jee Mukombozi wangu " " " " " " " " " " " "