MAHALI POTE NIENDAPO — Cantiques EUJC

N° 73

MAHALI POTE NIENDAPO

1.

Mahali pote niendapo duniani wapo nani chimbia shimo ni sione haki yako , " Na wenye kuni chukia wapo mbele yangu "2x

Refrain

Bwana mungu , mufalme wangu , (jehova mungu) ulimtoa Ibrahimu miongoni mwa watu wote watenda uwovu mungu wangu " Ukanitoa mimi katika dunia hii ni pate wokovu"

Commentaire

Com : -Neno la mungu Likanitoa mimi katika dunia ni pate wokovu -Upendo wa baba " " " " " " " " -Faraja mu neno " " " " " " " " -Furaha mu mungu " " " " " " " "

2.

Wameupumbuzisha moyo wangu 2x ( eh moyowangu ) moyo uchafuka na mambo ya dunia.

3.

Na tazama mahali niendapo mimi naona nyama ya simba kupenda kuninga uweke bonde baina yangu mimi naayawani simba , uweke bonde baina yangu mimi naayawani kali.