MALAIKA WA KAJA — Cantiques EUJC

N° 74

MALAIKA WA KAJA

1.

Malaika wa kaja kwa kumuokowa Lutu aondoke sodomoni katika shuruli za duniani, aondoke katika mateso aingie mu furaha, " Kilio hakitakuwako na kusaga kwa meno~2x

Refrain

Wajoli wangu kuna nyakati za mateso nyakati pia za furaha, yesu wa mungu uje utuokowe ( utuokoe) na roho mwema aje atufariji hili tupate uzima .

2.

Lutu akawambia njoni kwangu wajoli " mwingie nyumbani humu mulale usikuu ~2x akawatayarishia mukate usio kuwa na chacho ( eh Lutu)

3.

Eh we mutu wa mungu usifanye kama Lutu walimutuma mulimani aketi zoari akaingia pangoni akazinino wanawe~2x ( eh wana ) wana wakawahukumu pia na wa anzi.