N° 75
TWIMBENI SHANGWE
1.
Twimbeni shangwe kwa mutawala na bwana , yeye mufariji wetu utukufu uwe juu , ata Enoka mutu wa saba tangu Adama alitabiri uweza wake utukufu tele na rehema nyingi tangu Adamu na kwa siku za Lutu.
Refrain
Enyi wajoli twagizwa twa sita e twarifu wakwe wetu twa twakawiya shikwa kwanguvu twa toshwa ata inje ya muji ~Basi tondoke haraka mujini tukimbie tusiungue tusiangalie nyuma tusisimame tukaketi mulimani ~2x
2.
Watu wale wakamwambia Lutu ondoka araka twaribu muji japo uliarifu wakwewe lakini walikuona mwenye ziaka ~ Kumbe ondoka mujini araka ukimbie ~2x usiungue ushike njia ata mulimani usiketi zoari.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : Acha bulozi nawe baba ata mulimani usiketi zoari -Acha uzini ushike njia - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - Acha bulevi - - - - - - - - - - - - - - - - - - -