N° 76
INCHI YA SODOMA EH NA GOMORA
1.
Inchi ya sodoma eh na gomora inchi ya fahari za ulimwengu bwana kaichoma kibiriti na moto kutoka mbinguni kuteketeza sodoma nayo ikaangamia .
Refrain
Abrahamu akalia ye yoyoe Lutu wangu ee yoyoe yumo ndani humo umuokowe yoyoe asiangamie ~ Mujoli na kwarifu we yoyoye toka musodoma yoyoe moto ina kuja wende mulimani yoyoe usiangamie ~2x
2.
Malaika kajirika kwake kamwambia Abramu twatumwa kwenda kuchoma sodoma.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand