MUNGU WANGU UNIUMBIE MOYO UWESAFI — Cantiques EUJC

N° 89

MUNGU WANGU UNIUMBIE MOYO UWESAFI

1.

Mungu wangu uniumbie moyo uwesafi na hekima nzuri ¨ Na penda kuriti ufalme wako mafalme za dunia unitabishae ¨2x

Refrain

Jehova jina lako na kuomba ni wewe nitakase kwa kweli, kweli , kweli niwe kama teluji, uniumbie moyo uwe safi , safi mungu chukuwa wa kale.

Commentaire

Com : -Moyo wangu wa kupenda anasa uniumbie moyouwe safi, safi mungu wangu uchukuwe wa kale -Moyo wangu wa kupenda bulozi " " " " " " " " " " " "

2.

Uko peniueli mungu akajirika kwake Yakobo kashinda watu kashinda na mungu tupinge mambo mbovu tumwamini yesu~2x

3.

Mama yangu kanizaa muzambi Jehova upenda niishi mu neno Eliabu unitabishae.