N° 92
YUSUFU MU INCHI YA MISRI
1.
Yusufu mu inchi ya misri ~2x akaanza tafsiri ndoto kila ndoto na maana yake
Refrain
Yusufu ku misri tafsiri ndoto kila ndoto na maana yake.
Commentaire
Com : -Mwalimu wa njia " " " " " " " "
2.
Miganda kumi na moja ni mbele ya muganda moja , jua , mwezi , na nyota kuinama mbele ya Yusufu.
3.
Ngombe saba minono ni miaka saba ya shibe (chakula) na ngombe saba miembamba ni miaka saba ya njaa.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Humo gereza tafsiri ndoto kila ndoto na maana yake -Mu inchi ya misri " " " " " " " " "