N° 487
« SAFARI YETU JEHOVA AA »
1.
Safari yetu Jehova aa, tangulia mbele Mungu Baba,
Pamoja nasi, njiani pote mufalume (ee Baba)
Pamoja nasi, njiani pote mufalume.
2.
Njiani muna mambo mengi,
Mitego, mashimo visiki, Jehova Mungu usiniache ; ee Baba
Mitego, mashimo visiki, Jehova Mungu usiniache.
3.
Linda uwayi wa wanaaaa;
Walozi wana watafuta, (ee Baba) simba na chui unguruma;
(Ee kweli) walozi wana watafuta (ee Baba) simba na chui unguruma
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Ee kweli Samusoni uje,walozi wana watafuta ee Baba simba na chui unguruma
Kasieli uje walozi wana watafuta ee Baba simba na chui unguruma
Mikaeli uje walozi wana watafuta ee Baba simba na chui unguruma
Na Kadima baba walozi wana watafuta ee Baba simba na chui unguruma
Gabrieli uje walozi wana watafuta ee Baba simba na chui unguruma
Na Milemba mama walozi wana watafuta ee Baba simba na chui unguruma
Na Philippe uje walozi wana watafuta ee Baba simba na chui unguruma, …