SISI WAKRISTU — Cantiques EUJC

N° 207

SISI WAKRISTU

1.

Sisi wakristu wa bwana mungu wetu "Tu sishiriki na marafiki (eh marafiki ) na watu wa uwovu wote wa ulimwengu" 2x

Refrain

Tufanye nini leo tu shirikiane na bwana mungu wetu " ili twaweza kupata baraka ya mbingu "2x

2.

Zamani za kale Enoka alishika urafiki na bwana mungu (na bwana mungu ) ali safiri naye pote hata mbinguni.

3.

Tufunguwe milango nafsini mwetu ili bwana yesu aingie (yesu aingie ) sharti awe rafiki mwema wa utulivu.