N° 223
AHADI YA BABA
1.
Ahadi ya baba imetimia leo , ahadi ya mungu roho mwema amekuja aliadia watu wake kwa kinywa cha Yoeli kwamba kwa siku za mwisho ni tamwanga roho yangu juu ya wana israeli.
Refrain
Eh mungu nimepata chapa yako roho mwema ameshuka uliaidia watu wako "Ah , eh baba nimevikwa joo lako mufariji ameshuka"2x
2.
Dunia taabu yako , dunia ole wako nyinyi walozi ole wenu muliteswa watu wangu "Njoni muone ishara yangu roho mwema ameshuka, njoni muone ishara yangu roho wa uwezo ameshuka "2x
3.
Mufalume wa mbingu na dunia wewe bwana wangu baba mina kuomba juu ya ufalme wako uje mapenzi yako ya timizwe mbingu na duniani kwa wa chakuliwa wako.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand