N° 251
MUNGU AKATUMA MWANAKE YESU
1.
Mungu akatuma mwanake Yesu kwa mateso yetu na vilio vyetu ye yote amwaminie asife kamwe bali apate uzima wa milele eé ! aleluya.
Refrain
Jehova mungu ée twakushukuru mungu baba, Mungu baba e twakushukuru bwana yesu, yesu mwanae twakushukuru roho damilifu kwa faraja yako.
3.
Yesu akateswa na magonjwa jeraha mikononi nyingine miguuni ¨Ili sisi watu tupate uzima tusirejee vifungoni mwa shetani na mateso yake Yesu
4.
akatuachia agizo lake mimi na watesa wale ni wa pendao ¨Ha taabu zao yote itakoma wa kifata neno la mungu baba jehova mungu wao¨2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand