N° 253
YESU MUSHAMBA LA GETESEMANE
1.
Yesu mushamba la getesemane machozi ikamutoka aliomba kwa baba kikombe kinipitie (mbali) "lla mapenzi yako ya fanyike upenda vyo "2x
Refrain
Mwana wa mungu alilia eh Eloi Eloi eh Eloi Eloi baba lamasabakatani mungu wangu kwa nini umeniacha mimi mwana mupendelevu , baba kwanini umeniacha mimi mwana mupendelevu.
2.
Mateso mwilini (mwilini) uchungu moyoni jamani eh akunena jambo kamwe wayuda wakenda naye midjele di wa kamupika mwokozi kasikitika Eloi lamasabakatani.
3.
Roho ni tayari bali mwili ni zaifu alifazaika mwokozi yesu wa fwasi wote kalala amkeni nyinyi wanangu musianguke majaribuni.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand