N° 254
YESU MWANA MUSALABA
1.
Yesu mwana musalaba alilia kwa babae¨2x vita na vita unijia nimetoa roho yangu.
Refrain
¨Yesu alilia baba mbona umeniacha ni meteswa duniani ¨2x
- Mukuki mbavuni...
- Nafiolewa mimi...
¨Wametesa mwili wangu wame mwanga damu yangu ¨2x
Eh ninalia kwa baba Eloi Eloi Eloi Eloi baba mbona umeniacha.
3.
Bwana mungu wa rehema ukumbuke kazi ngapi nilifanya duniani kikombe kinipitie mbali
.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
- kuombea watu nilifanya duniani kikombe kinipitie mbali
- kufukuza pepo ¨ ¨ ¨ ¨ ¨ ¨
- kufariji watu