N° 257
YESU KATIKA MULIMA WA MIZEITUNI
1.
Yesu katika mulima wa mizeituni nao wa fwasi wake wa kamufata wa kamwambia hivi hili tupate kuomba kwajili ya majaribu , hili tupate kuomba kwajili ya vishawishi .
Refrain
Sikia kilio cha yesu wa mungu wana wangu mu amke tuombe kwa nini waminifu mwapenda kulala wana wangu mu amke tuombe , simoni, petelo, yakobo , yoane wana wangu mu amke tuombe .
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
-Waminifu wanene mwa penda kulala wana wangu mu amke tuombe
-Watoto wa Kyungu ¨ ¨ ¨ ¨ ¨ ¨ ¨
-Waminifu wa betheli ¨ ¨ ¨ ¨ ¨ ¨ ¨
Kisha kajitenga nao kwajili ya kutupa jiwe pale pale akapiga magoti yesu akalia kwa baba kwajili ya kikombe iki kinipitie mbali.