KILIO CHANGU MIMI — Cantiques EUJC

N° 261

KILIO CHANGU MIMI

1.

Kilio changu mimi nalia kumusalaba ku mioyna kwangu mimi na mioyna kwa machozi nalilia baba na tabika na tabika mimi na tabika.

Refrain

Mimi na lilia baba na tabika mimi nalilia mwana na tabika nalilia roho na tabika na tabika kweli na tabika.

2.

Vazi langu limechafuka haya shaka na hofu viani tabisha mimi munaziri nalilia mwana na tabika.

3.

Kiapo changu mimi na choka na via dunia na subiri roho mufariji nalilia roho na tabika atani fariji mu taabu yangu na ziki zote duniani.