N° 264
MOYO WANGU UKO KATIKATI YA NYAMA
1.
Moyo wanguuko, katikati ya nyama , moyo wangu katikati ya nyama na simba matendo yangu wamenifanyia wavu wamenichimbia shimo kuitafuta nafsi yangu.
Refrain
Ehi Ehi , Ehi Ehi taabu jeho va mungu wangu "Haya ni mateso "2x katika uduma wako muko taabu bwana muko kifo pia na machozi.
2.
Nyama ya simba ya meniongojea , tazama chui ameninioshea kuchwa , tembo naye amenisegemea (amenielemea) na mbweha nime wa tendea nini.
3.
Magonjua haya yapo miongoni mwa watu : upofu , ububu , wenye safura ulia pia na homa wenye vifafa wanguka na manda mikono ya kupoza itatunzwa.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand