JEHOVA MUNGU KAULIZA — Cantiques EUJC

N° 265

JEHOVA MUNGU KAULIZA

1.

Jehova mungu kauliza nimutumne nani ulimwenguni yesu wa mungu kajibu: "Eh baba tenda , tenda eh baba katika dunia ni kakwinulie uzao "2x

Refrain

Sasa roho ametujia sisi haadi imetiùilika kwetu tupeane salama wajoli tusimame twende kufanya uduma za baba tukamwinulie uzao .

2.

Sisi njo uzao wako tusibaki mu yerusalema wajoli twende mu yudea yote na mu samaria na mipaka ya dunia wajoli njaa , utupu na kifo visituzuie kwa mwinulia uzao .

3.

Yesu wa mungu alipo tujia njaa utupu na kifo akuofu kamwe kwa ku muinulia baba uzao alama mikononi miguuni , Ubavu vifaranga vyangu sina lawama "eh baba tukuza mwana kwa utukufu alio kuwa nao tangu hawali.