N° 266
BETSAIDA
1.
Betsaida kisima cha bwana , betsaida kisima takatifu bwana alimutumamalaika moja kwingia kisima betsaida.
Refrain
Wajoli amka wewe ubebe kitanda unapona
2.
Kulikuwa na mutu mumoja aliekuwa na ugonjua wake miaka makumi tatu na mi nane alie tanzwa kwake bwana yesu.
3.
Enyi vipofu viwete viziiwi karibieni kwake mutu yule anaetia watu birigani wakati maji inapo chemuka.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Ndugu amka wewe ubebe kitanda unapona
-Shukuru mungu