N° 272
TIMIZA NAZIRI
1.
Timiza naziri zako kwa mumbaji "Usitazame mawimngu usitazame upepo shambani, usitazame mawambi tupa mbego bahari itatulia "2x
Refrain
(Kweli) Ole wangu oleo , ole wangu babangu kanizaa mutu wa taabu akaniza mutu wa shida nilicho nunuwa nimenyanganywa ni sicho kopeshwa ni me daiwa njiani shutumu zisizo kuwa na hatia.
2.
Timiza naziri zako kwa mumbaji kwa nini kulia juu ya mwiba neema yako imekutosha utukufu wako ni mu mwiba huo.
3.
Kwa nini kujuta kwa naziri zenu ngisi nilivyo kuwa na baba zenu ndivyo nitakavyo kuwa nanyi sita wa pungukiya kamwe.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Basi ni mwalike nani malaika wa bwana unitangulie , malaika jirika kwangu unitangulie kambini.
-Basi Mikaeli naye
-Basi Samsoni naye