N° 197
HUMU NJIANI MWA BWANA
1.
Humu njiani mwa bwana muna visiki na magogo "Vinavio angusha wengi wasifike uko mwisho"2x
Refrain
Ah jehova mungu usinyache yoyoyo usinyachilie kamwe
2.
Ngurumo uvumi uja juu yangu mimi munaziri wa mungu yo bahari nayo unigarikisha mimi mimi na potea.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com:-Taraja langu
-Sitara langu
-Mumbaji wangu