N° 200
KATIKA MAISHA YANGU
1.
Katika maisha yangu mimi na tarajia bwana mimi masikini wa mungu mimi mukosefu wa bwana , kanitowesha toka maovu yangu yote ninayo ya tenda mimi apa pa dunia
Refrain
Ninayo safari ya kwenda kwa baba mwili unitenganisha safari ni ndefu ya kwenda mbinguni mwili unitenganisha nisije ni kenda mbinguni kumuhimidi mungu wa uzima.
2.
Mungu kwa rehema yako kamuchukuwa Enoka kenda naye mbinguni mungu wangu akakuhimidi.
3.
Mungu kwa rehema yako unishushie roho wako ilinichukuwe nami sikuzile nika kuhimidi.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand