N° 211
WAKATI YESU ALIPOELEKEA
1.
Wakati yesu alipo elekea njiani akaona mutini mwema wa matunda alipo fika kutafuta matunda hakuona kamwe tunda ata moja .
Refrain
Chunguzeni matendo yenu munapo tendea bwana jiazareni wasi walaumu marafiki na wuovu mpenzi jehoa mungu wa yakobo unirehemu.
2.
Jiazareni enyi wana wa jehoa shoka ni chini ya kila shina yote mutini wote usiotoa matunda utakatwa na kutupwa motoni.
3.
Sisi zote tulio humu hekaluni wa baba wa mama marafiki zetu atatukiwa wa kristu kweli tutoe matunda yanayo mpendeza.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand