SAFARI NI MWANGU — Cantiques EUJC

N° 212

SAFARI NI MWANGU

1.

Safari ni mwangu ninaomba mungu na tuma mungu mbele ili anitangulie"2x

Refrain

Mungu wangu uniondoshe atari zote na shida , na shida zote ngumu apo mimi ni fikapo ni tapiga gati mpenzi jehoa mungu ni takushukuru"2x

2.

Uku mbele kuna vita kuu ya giza na shimu ndefu sana ili ni sipate uzima "2x

3.

Ukiwahuja toka ndani ya vitu na mu mambo ya watu ewe utafariki kweli.