N° 215
KUPANDA KWAKE YESU
1.
1. Kupanda kwake yesu mulimani akatwaa Petro eh Petro na Yoane , Yakobo akikisho letu.
Refrain
Musa na Elia walijirika pale yoyoyo wakisema na bwana maneno ya siri.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
-Maneno ya mbingu wakisema na bwana ya siri ya roho
-Kweli Musa na Elia ¨ ¨ ¨ ¨ ¨ ¨
Kule mulimani bwana yesu kageuzwa sura yake kangaa kwa utukufu wake¨2x
Wanafunzi kamwambia bwana tujenge hema tatu tukae hapa sisi inafaa kwetu. Co m : -Tuka subiri roho ! tukae hapa sisi inafaa kwetu .